UUWIII YATAKA MOYO MJUE BINADAMU WA AJABU MWENYE UWEZO WAKUMEZA MISUMARI,VIWEMBE NA VIOO.
alianza kujigundua kua ana kipaji hicho baada ya kufiwa na wazazi wake wote wawili nakumfanya awe mtoto wa mitaani kisha alianza kuokota vioo,viwembe na misumari kula sabu ya njaa lakini avikumdhuru hili n jambo la ajabu hakuna binadamu mwingine anae weza.
Comentários
Enviar um comentário