HII NI AJABU HAWA NI SIMBA WEUPE WATOTO WAMEIFADHIWA KUNAKO ZOO YA WANYAMA HUKO SERBIA.
SIMBA WAWILI WEUPE WATOTO WANACHEZA KATIKA BELGRADE ZOO SERBIA. WANA WIKI 3 TU TOKA WAZALIWE. WAMEKUA WAKINYWESHWA MAZIWA YA CHUPA BAADA YA MAMA YAO KUWATEKELEZA WAKIWA VICHANGA SANA.
Comentários
Enviar um comentário