AMINI USIAMINI DUNIA INA MAMBO YAKUTISHA SAMAKI WA AJABU MWENYE MIGUU 100 AVULIWA SINGAPORE.
ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni kiumbe cha ajabu ni samaki mwenye miguu mia 100 ambayo yote inafanya kazi anatembea avuliwa santosa singapore.
mvuvi huyo anasema kumshika haikua kazi kubwa kwake ila alishangaa kuona kiumbe chenye miguu mingi kiasi aliogopa ila baadae aliamua kumchukua nakumpeleka maabara wataalamu wanadai huyo ni alien ambayo anatoka dunia nyingine alipotelea kwenye maji.
Comentários
Enviar um comentário