MAMA AKIRI MAHAKAMANI KUMCHOMA MOTO MWANAE KICHANGA KWA KIBERITI CHA SIGARA.
A fresno mama amefungwa jela kwa kosa la kumtesa mwanae kichanga cha miezi mitano 5 kwa kumchoma moto kwa kiberiti cha sigara, mpenzi wake anamtetea wakati mtoto wao wa miezi 5 amebaki hospitalini akiteseka kupona madonda ya moto. nakuombea upone haraka mungu yupo nawe mwache mama yako akaozee jela!!
Comentários
Enviar um comentário