MCHINA ATENGENEZA GARI LA UMEME KWA KUTUMIA MBAO.
mchina liu fulong miaka 48 atengeneza gari la umeme kwa kutumia mbao alijaribu kwa mafanikio ilo gari kwenye mitaa shenyang mkoa china liaoning jumatano . gari lina uzito 200kg ina spidi 30km/h linaweza kusafiri 20km bila kupakia mzigo.
Comentários
Enviar um comentário