KIJANA ATAMBAA NA KUINGIA NDANI YA NYUMBA KUPITIA DIRISHA ILI AMBAKE MTOTO WA MIAKA 10.
kijana jose gonzalez hapo juu anashikiriwa na polisi huko new york kwa kosa la kubaka mtoto wa miaka 10. kesi yake hiyo imeghairishwa nakuamishiwa mahakama kuu superior court kutokana uzito wa kesi yake hiyo asema judge jumatatu.
kutokana na maelezo ya polisi ansema jose alipanda juu ya dirisha ya meriden conn nyumba wiki iliyo pita nakumbaka mtoto wa miaka 10 wakati familia yake ilikuwa humo kwenye nyumba.
kutokana na maelezo ya polisi ansema jose alipanda juu ya dirisha ya meriden conn nyumba wiki iliyo pita nakumbaka mtoto wa miaka 10 wakati familia yake ilikuwa humo kwenye nyumba.
Comentários
Enviar um comentário