BUIBUI MKUBWA DUNIANI KOTE AKUTWA AMAZON ANA SUMU KALI NA ANAUWEZO WAKUMLA HATA NDEGE.
ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni huyu ni buibui mkubwa duniani kote anauwezo wakumla hata ndege na ana sumu kali zaidi ya nyoka akutwa porini juu ya mti.
scientist piotr naskreckl anasikulia yakua alifipo fika katika ya pori amazon aliamua kufanya camping na team yake ya uchunguzi ndipo jioni kidogo aliamua kwenda kutembea pori nene ghafla alisikia kelele kuangalia pande zote ndipo alipo muona hilo li buibui likiwa limekaa juu ya mti.
wataalamu wanasem kua huyo ndo buibui mkubwa duniani kota ambae hajai kutokea mwingine.
Comentários
Enviar um comentário