KITIMOTO WA AJABU AZALIWA CHINA AKIWA NA PUA YA TEMBO NA HANA MDOMO.
nguruwe katoto kazaliwa akiwa hana mdomo bali ana pua ndefu na kubwa kama ya tembo mfugaji wa nguruwe asema kwa yeye anaona kama ni mkosi tangu haanze kufuga nguruwe ajawai kuona nguruwe wake wakizaa kitu cha ajabu kama hicho ambacho kina fanana na tembo.
baada ya kuzaliwa huyo nguruwe akudumu alikaa masaa mawili nakufariki dunia.
Comentários
Enviar um comentário