MAAJABU-HII NI HOTEL ILIYO JENGWA KATIKATI YA BAHARI DUBAI YENYE MUUNDO WA BIRIKA.
ukistaajabu ya guebuza utayaona ya nyusi nadhani unasikia tu kua ipo hotel iliyo jengwa katikati ya bahari basi ni hiyo hapo katika picha ni hotel iliyo jengwa baharini dubai.
kulala hapo lazima huwe na mkwanja wa kutosha ni dola 5000 kwa siku wengi wao wanakuja kutembelea na kulala katika hiyo hotel ni wasanii wa hollywood na maraisi. imejengwa kwa shaba na silva inaitwa underwater paradise hotel.
Comentários
Enviar um comentário