AJIBADILI KUA MDOLI JUSTIN JEDLICA AFANYA UBASUAJI 150 KATIKA MWILI WAKE AWE KEN DOLL.
ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni kijana mwenye umri wa miaka 33 justin jedlica afanya ubasuaji 150 katika mwili wake wote ili afanane na mdoli.
anasema toka alipokua mtoto alipenda kufanyiwa upasuaji awe tofauti na binadamu wengine alipo fikisha miaka 18 alifanya upasuaji wake wa kwanza wa pua anbayo ilimgharimu dola elfu 50 mpaka baba yake ambae ni mfanyabiashara mkubwa kujitolea nakumlipia ubasuaji wake wote.
Comentários
Enviar um comentário