UFO ENTHUSIASTS WAGUNDUA KUWEPO KWA SIRAHA AINA YA PISTO KATIKA SAYARI YA MARS.
habari zilizo vujishwa jana ijumaa ya kua NASA wamegundua kuwepo kwa siraha aina ya pisto katika sayari ya mars mpaka hivi sasa ni bado kitendawili haijulikani kama kuna viumbe wanaishi huko ama mabaki tu ambayo yalitumia enzi hizo.SWALI LINABAKI KWAKO JE UNADHANI KUNA VIUMBE HUKO MARS? toa mawazo yako hapa.
Comentários
Enviar um comentário