MWANAUME NA MWANAMKE WAPIGWA MAWE HADI KUFA BAADA YA KUKAMATWA WAKIWA WANAZINI SYRIA.



mwanaume na mwanamke ugoni wamepigwa mawe hadi kufa baada yaa kukamatwa wakizini syria. mwanamke ni wa mtu alishaolewa alipagwa mawe katika mkoa wa jihast syria na mwanaume ni mtu alishaoa alipigwa idlib syria ambako huko wanaishi waislamu wengi wenye msimamo mkali. wote walipoteza maisha baada ya kushambuliwa kwa mawe makubwa na madogo nchi nyingi za kiislamu zinashikiria andiko la quran yakua atakae shikwa anazini na mke au mume wa mtu wapigwe mawe hadi kufa.
shirika linalo simamia haki za binadamu limeonya vikali tabia hiyo ambayo inakiuka haki za binadamu wamedai kua wanaitaji waelimishwe na wabadili msumo huo wa hukumu.

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+