SAMAKI MKUBWA AINA YA NYANGUMI AKUTWA PEPEZONI MWA BAHARI KAFA AKIWA AMELIWA SEHEMU KUBWA YA MWILI WAKE.





samaki mwenye urefu wa futi 58 na mwembamba akutwa pepezoni mwa bahari kafa akiwa ameliwa sehemu kubwa ya mwili wake. nyangumi huyo alisukumwa na maji mpaka mchikavuni akiwa tayari kesha kufa kwenye kisiwa kidogo huko new york ni mkubwa kuliko hata chihuahua  kim durham wa river head foundation asema news day.
gothamist alipoti kua nyangumi huyo mwenye urefu wa futi 58 aligunduliwa 8am alhamisi karibu kwenye kempu ground  smith country park shirley ,new york umbali wa maili 77 kutoka new york city.

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+