KIJANA AURIWA DAKIKA KADHAA TU BAADA YA KUACHIWA HURU MIAKA 15 YA KIFUNGO CHAKE JELA.
raia wa mji mdogo new york ameeleza haya pix11 news kua iliwabidi wajifungie ndani kwa mara yao ya kwanza baada ya kijana kuachiwa huru kutoka kifungoni cha miaka 15 jela apigwa risasi nakufa hapo hapo baada ya dakika kadhaa tu kuondoka gerezani.
Comentários
Enviar um comentário