KARNE 13 KABURI LA VAMPIRE LAGUNDULIWA HUKO SOUTHERN BULGARIA
karne 13 fuvu lagunduliwa southern bulgaria na archaeorologisti professar nikolai ovcharov pia maarufu kama 'bulgaria indian jones".
fuvu linaamika kua la binadamu mwanaume anayo kipande cha chuma kwenye kifua chake ambapo hiyo sehemu moyo ndo ulitakiwa kukaa kuwepo kwa chuma kwenye kifua inaonekana alikua ni vampire.
Comentários
Enviar um comentário