ANAE SEMA MUNGU HAYUPO MBISHE MKALIE MBALI NI SHETANI MUNGU YUPO USHAHIDI HUU HAPA.
UBONGO (HUMAN BRAIN)
MAJI (WATER)
RADI (THUNDER)
DUNIA (EARTH)
MTOTO (BABY)
UPENDO (LOVE)
MALI ASILI (NATURE)
MACHO (EYES)
leo napenda nichukue fursa hii fupi niwaeleze jambo dogo ambalo litawagusa wengi kama ulikua hauamini kua mungu yupo basi kuanzia sasa utaamini na pia kama unaamini kuwepo kwa mungu halafu unashawishiwa usiamini kataa pinga mkalie mbali ni shetani.
hizo ni baadhi ya miujiza ya mungu ambayo ukitafakari kiundani unaweza kundua kitu naanza na:
UBONGO- ni kitu cha pekee ambacho mungu ameumba ni raini kama siagi hakuna maji wala damu ndani yake ila kazi yake ni kubwa kwako.
MALI ASILI- mungu aliumba miti,maua,wanyama na ndege mbalimbali hili kupendezesha dunia yake.
MACHO- ni kiungo kidogo sana ndani ya mwili wa binadamu hukufanya wewe kuona vitu mbalimali ina nyama raini sana lakini hudumu hadi kufa kwako.
UPENDO- kila binadamu anapenda na ujuwi huo upendo unatoka wapi na hakuna mtu aliweza kugundua maana halisi ya upendo na unapo toka.
MAJI-hebu fikiria maji mengi yaliomo baharini hayakauki na hayana radha kabisa hila viumbe wanaishi humo yana karne nyingi hayapungui bali yanaogezeka na pia yapo maji baridi yenye radha tofauti ambayo binadamu anatumia.
MTOTO- ulizariwa na ukapewa maisha hadi kufikia hapo ulipo unapumua,kula na kuishi.
RADI- hebu jiulize radi inatoka wapi na kwanini hutokeaa muda wa mvua nani ameunda radi kwanini tuna radi hapa duniani.
DUNIA-ni kitu kikubwa sana hakuna anae jua wapi ilitoka scientists wanadangaya tu isitoshe inaelea juu imezungukwa na nyota,jua,mwezi na sayari zingine.
JESUS CHRIST
JESUS- ni mwana wa mungu amefanya miujiza mingi duniani kuonesha dunia kua mungu yupo na waache imani potofu kua hayupo alitibu virema,wagonjwa na hata kufufua watu. alitumia nguvu za mungu pekee.
hakuna binadamu yoyote anaeweza kuunda mtoto,radi,upendo,maji,dunia,mali asili, ubongo,macho, yote haya ni mungu pekee ameunda sisi tumekuta tu usidanganywe mungu yupo na maajabu yake yapo.

Comentários
Enviar um comentário