MCHORA TATTOO MAARUFU NORTH HOLLYWOOD AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPIGWA RISASI NJE YA DUKA LAKE.
ilianza kama mapigano ya utani baadaye ikaishia kifo, nje ya duka lake la kuchora tattoo. mchora tattoo maarufu north hollywood apigwa risasi alhamisi usiku, kutoka kwa rafiki wa mshtukiwa ambaye alijitambulisha kama yeye ni msanii na baba wa watoto watatu ,trigz,steve, kuzo alipoti kwa ktla5 news alhamisi,oct 9 2014.
Comentários
Enviar um comentário