WATU WANNE WAMEKUFA MKOANI MWANZA TANZANIA KWA KUDONDOKEWA NA MAWE.
MTOTO WA MIAKA 4 ALIE NUSURIKA KATIKA TUKIO HILO HUKO MWANZA.
AJALI MBAYA IMETOKEA HUKO MWANZA TANZANIA WATU WANNE WAFARIKI HAPO HAPO JANA KUAMKIA LEO BAADA YA WATU KUANZA KUJENGA NYUMBA CHINI YA MAWE NA KUCHIMBA UDONGO ULIO CHINI YA MAWE HAYO MAKUBWA YALIYO JUU YAO NAKUSABABISHA MTIKISIKO NA MAWE KUANGUKIA NYUMBA MBILI NAKUUA WATU WANNE. MTOTO WA MIAKA 4 ANUSURIKA KUFA KATIKA TUKIO BAADA YA WAZAZI WAKE WOTE KUFUNIKWA NA MAWE YEYE ATOKA AKIWA MZIMA WA AFYA.

Comentários
Enviar um comentário