KOREA YASITISHA USAFIRI WA NDEGE KWENDA KENYA.
shirika la ndege korean airways yasitisha safari zake kwenda kenya sabu ya hofu kuwepo kwa gonjwa baya la EBOLA uko kenya wanaafya wasema bara la afrika lipo hatarini kuambukizwa EBOLA. Shirika la ndege la kenya airways wamesema wataendelea kutoa huduma kama kawaida katika kanda ya afrika mashariki.
Comentários
Enviar um comentário