JUMA NATURE AWAPONDA WASANII WAKUIMBA WANAO TOA VIDEO NJE YA NCHI.
JUMA NATURE AU KIROBOTO KIONGOZI WA KUNDI LA TMK HALISI YENYE MAKAZI YAKE HUKO TEMEKE TANZANIA KAIBUKA NAKUSEMA KUA WASANII WA BONGO FLEVA WANAO TOA VIDEO ZA NYIMBO ZAO NJE YA NCHI NI ULIMBUKENI NA USHAMBA KWANI HAPA TANZANIA PIA WANAWEZA KUTOA VIDEO KALI KULIKO HATA HUKO ULAYA WAENDAKO KAMA VILE ADAM JUMA NEXT LEVEL ASEMA HAKUNA UMUHIMU WAKUTOA VIDEO KAMA UNAKUJA TANZANIA NAKUPIGWA SIKU MBILI NAKUTIWA KAPUNI NI BORA HIZO HELA WASAIDIE WATOTO YATIMA KULIKO KUGHARAMIA KITU AMBACHO AKIWEZI KUDUMU MILELE AZIDI KUSEMA KUA WASANII WENGI HUENDA ULAYA KUTAFUTA SIFA TU NA SI KUJULIKANA KIMATAIFA. ASEMA HAYA KATIKA INTERVIEW BONGO BEATS STAR TV KINACHO ONGOZWA NA SAUDA MWILIMA.
Comentários
Enviar um comentário