HUDUMA ZA AFYA,USAFI, MAJI SH BIL1.3 KUTEKELEZA UBORESHAJI SINGIDA TANZANIA.
UJENZI WA HOSPITALI SINGIDA
MAJI SINGIDA
SHIDA YA MAJI NA UKOSEFU WA HUDUMA BORA KATIKA HOSPITALI SASA LITAMALIZIKA AMESEMA MKUU WA MKOA SINGIDA KUA BIL 1.3 ZIMEANDALIWA KUTEKELEZA UBORESHAJI WA HOSPITALI NA MAJI KUANZIA OCTOBER. WAKINA MAMA WAMEKUA WAKIPATA SHIDA SANA MUDA WA KIJIFUNGUA KWA UKOSEFU WA VIFAA , VITANDA NA DAWA INAKADILIWA WAKINA MAMA LAKI MOJA KWA MWAKA HUFA MUDA KUJIFUNGUA TANZANIA.

Comentários
Enviar um comentário