UKATILI- KAMUUA MWANAE KISA NI MWANAMKE

 MTOTO ALIE TUPWA NA MAMA YAKE HUKO CANADA KATIKA TOPE
 ALIWEKWA NDANI YA MFUKO NAKUFUNGWA KAMBA MIKONO
HABARI YAKUSIKITISHA UKATILI UMETOKEA HUKO CANADA MAMA MMOJA ANAE ONEKANA HAPO JUU NI CHRISTINA DANIEL MIAKA 27 NI MAMA WA WATOTO WAWILI WOTE NI WA KIKE JANE NA JULIET. AMEMTUPA MWANAE PALE TU ALIPO JIFUNGUA NA KUGUNDUA KUA MWANAE WA TATU ANA JINSI YA KIKE ALIMTIA KWENYE MFUKO NA KUMFUNGA KAMBA MIKONO YOTE NA KWENDA KUMTUPA MTONI MTOTO ALIPOTEZA MAISHA KWA KUKOSA HEWA. HIVI SASA ANASHIKILIWA NA POLISI KWA KOSA LA MAUWAJI CHANZO NI KWAMBA YEYE NA MUMEWE WALITAKA MTOTO WA KIUME. ANAE PANGA NI MUNGU UZAE NANI POLE NENDA JELA...

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+