SEMA NO UKATILI WA WATOTO AKUTWA MTARONI KAFA
HABARI ZA HIVI PUNDE NI KUA MTOTO MMOJA WA KIKE AKUTWA MTARONI KAFA HUKU SURA YOTE IKIWA IMEFUNIKWA NA NGUO HUKO AFRIKA YA KATI BADO HAJULIKANI JINA NA WAPI ANATOKA ILA INASEMEKANA KUA NI KUNDI LA VIJANA WAKIHUNI WAMEFANYA UKATILI HUO MIGUU IMEFUNGWA IMEVIMBA NA DAMU ZINAMTOKA USONI AMETESWA NA KUBAKWA. WASAMALIA WEMA WANADAI YAKUA HUYO MTOTO ATAKUA ANATOKA MACHAMBANI KIJIJINI JAMAA ZAKE AWAJAJULIKANA.
Comentários
Enviar um comentário