ITACHUKUA MIEZI SITA KUTHIBITI EBOLA
Ebola ni gonjwa baya na hatari ni rahisi kumuambukiza mwingine mpaka sasa inasemekana nchi nne tayari ina virusi vya ebola siera leone,gabon,liberia,na nigeria hadi sasa imerepotiwa kua watu 3 wamekufa huko nigeria kwa ebola. hali ya kuvunja moyo kutoweka kwa ebola afrika bado mbaya zaidi wanadai hakuna dawa inayoweza kutibu ebola. shirika la afya duniani lasema itachukua miezi sita kuthibiti ebola kutosambaa na kutoweka bara la afrika.
Comentários
Enviar um comentário