MAJAMBAZI WAVAMIA BAR MPAKANI MWA KENYA NA TANZANIA NAKUUA WATU 2.

HABARI NILIZO ZIPATA HIVI PUNDE ZINASEMA KUA MAJAMBAZI WAVAMIA BAR MPAKANI MWA KENYA NA TANZANIA NAKUUA WATU 2 NAKUJERUHI WATU 3 KATIKA KIJIJI CHA SILALI WALIPORA MALI ZILIZOMO HUMO BAR WALIINGIA WAKIPIGA RISASI HOVYO HUKU WAKIWA WAMEVAA SARE ZA POLISI NAKUONEKANA KAMA MAASKARI NAKUTOKOMEA KUSIKO JURIKANA HADI SASA HAKUNA TAARIFA ZOZOTE ZA KUKAMATWA KWAO. .

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+