UNAMJUA MNYAMA DUMA FUNGUA UMSOME HAPA.




MNYAMA DUMA NI JAMII YA PAKA ANAISHI MWITUNI ANAUWEZO MKUBWA KULIKO MNYAMA WOWOTE HAPA DUNIA KWA KIINGEREZA HUMUITA CHITER.ANAUWEZO WA KUKIMBIA 60KM KWA RISAA MOJA NI MNYAMA ANAE KIMBIA KULIKO WOTE DUNIANI NDANI YA PUA YAKE KUNA MATUNDU MAWILI YAKUPUMULIA AMBAYO HUMFANYA AWE NA KASI.SAUTI YAKE INAWEZA KUSIKIKA ZAIDI YA 200MITA YANI KILOMITA 2 KIFUA CHAKE NI KIKUBWA KULIKO TUMBO LAKE HUZAA WATOTO WANNE TU. DUMA NIWAPEKEE APENDI KELELE WALA VURUGU,HUPANDA MITI AINA YOYOTE, AMKIMBIZA MNYAMA AMBAE AKIMBII UDHAIFU WAKE ACHELEWI KUCHOKA MWILI WAKE HUCHIKA JOTO HARAKA KUTOKANA NA HEWA KUINGIA KWA KASI KWENYE MAPAFU YAKE.

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+