MWANAFUNZI AKATWA MATITI NA SEHEMU ZA SIRI MADAGASCAR
TUKIO LA KUSIKITISHA LATOKEA HUKO MADAGASCAR BAADA YA MWADADA MMOJA INASEMEKANA NI MWANAFUNZI WA CHUO RAIA WA KENYA ATEKWA NA KUKATWA MATITI YOTE NA SEHEMU ZA SIRI TUKIO HILI SIO MARA MOJA KUTOKEA IMEZOELEKA KWANI HUTOKEA MARA KWA MARA KWA WANAWAKE KUFANYIWA UKATILI HUU. HADI SASA HAKUNA TAARIFA YA KUKAMATWA KWA MAJAMBAZI JESHI LA POLISI LINAMSHIKILIA MPENZI WAKE KWA MAELEZO ZAIDI. R.I.P.
Comentários
Enviar um comentário