MCHAKATO WA MAREKEBISHO YA KATIBA CONGO YASITISHWA.
habari nilizo zipata hivi punde kua mvutano mkubwa baina ya vyama pimzani na chama tawala huko congo vinavyo pingana kutofanyia marekebisho ya katiba na wengine kufanyia marekebisho hatimae hitimisho lake limetoka hapo jana kua katiba haitafaanyiwa marekebisho wataendelea kutumia ya zamani na katiba yenyewe inapinga kufanyiwa marekebisho. poleni congo katiba mpya ndio mpango.
Comentários
Enviar um comentário