UMOJA WA KIMATAIFA WATANGAZA KUTOA MSAADA KWA MATAIFA YA AFRIKA YALIYOATHIRIWA NA UGONJWA WA EBOLA.
UMOJA WA MATAIFA WATANGAZA KUTOA MSAADA WA CHAKULA NA DAWA KWA MATAIFA YA AFRICA YALIYOATHIRIWA NA UGONJWA WA EBOLA. UMOJA WA MATAIFA WANAKABILIANA NA UGONJWA HUO USISAMBAE BARA ZIMA KWA KUSAIDIA CHAKULA NA DAWA NCHI ZENYE VIRUSI VYA EBOLA LIBERIA,GABON,NIGERIA,SIERA LEONE, MSAADA HUO UTALETWA KWA NDEGE NA WATU MAALAMU.
Comentários
Enviar um comentário