MAHAKAMA YA MICHEZO YAMRUHUSU SUAREZ KUFANYA MAZOEZI.
Mchezaji matata suarez ukipenda kumuita vampire atupiliwa mbali rufaa yake ya kupinga maamuzi ya mahakama kumfungia kutojishirikisha na michezo hatimaye mahakama yamruhusu kufanya mazoezi na matangazo baada ya kukili na kuomba msamaha.
Comentários
Enviar um comentário