mtoto tony chan mwenye gonjwa la ajabu huko thailand.

 ukiangalia unaweza kusema ni kobe lakini hapana ni binadamu huyo kitu la ajabu nilimemuota kwenye  mgongo wake.
mtoto tony chan ni mzaliwa wa thailand alipokua na miaka miwili ndipo huo uvimbe ulianza kumuota alifanyiwa upasuaji mara mbili lakini hali ilizidi kuendelea hivi sasa ana miaka saba awezi kutembea wala kulala kutokana na uvimbe kua mkubwa sana amekimbiwa na wazazi wake wote wawili kutokana gharama ya upasuaji kua juu hivi sasa yupo katika kituo kidogo cha kulea watoto yatima huku akisubilia upasuaji wake mwisho mwezi ujao kupitia michango ya wasamalia wema.tumuombee mtoto tony aweze kupona mapema. type amen...

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+