MFUMO WA M-PESA KUTOKA VODACOM YAFIKA ROMANIA.
Mfumo wa kisasa wa simu za mkononi kutuma pesa na kupokea M-PESA kutoka vodacom afrika mashariki sasa yafika ulaya mashariki romania watu wengi wamevutiwa na huo mfumo wanadai kua huwalaisishia maitaji yao na rahisi kulipa huduma mbali mbali wakiwa nyumbani mwao na kutuma pesa kwa gharama nafuu sana. hongera vodacom
Comentários
Enviar um comentário