WANYAMA NA MISITU YATEKETEA KWA UVAMIZI NA UWINDAJI HARAMU SOTE TUNAWAJIBIKA KUTUNZA.
picha zakusikitisha hapo juu zinaonesha jinsi gani maliasiri zetu tulizo pewa na mungu zinateketea inatia huruma. enyi binadamu sote kwa pamoja tunawajibika kutunza na si kuaribu pinga ukatili huu.
ukimuona jirani ana choma moto misitu,anauuwa wanyama au anakata msitu toa taarifa polisi tukizibiti hili dunia itarudi katika hali yake ya kawaida mabadiliko mengi ya hali ya hewa hivi sasa unatokana na ukataji wa miti na huuwaji ovyo wanyama sema noo.
kwa yeyote mwenye mpango kama huu pinga kabisa huyo ni adui yetu atutakii mema anastaili adhabu kali.
Comentários
Enviar um comentário