MAAJABU-MTOTO MWENYE KIPAJI CHA PEKEE KUTOKA VIETNAM ANAEWEZA KUCHEZA NA NYOKA BILA UWOGA.
mtoto biuwing doung 11 kutoka vietnam mwenye uwezo wa kucheza na chatu bila uwonga hiki kipaji chake kimetoka kwa baba yake sabu alikua mwana sarakasi ndipo biuwing alipo jifunzia kushika na kucheza na nyoka.
Comentários
Enviar um comentário