CAHORA BASSA UMEME WA MAJI UNAOSAMBAZA UMEME NCHI TANO AFRICA.

                                                    CAHARO BASSA MOZAMBIQUE
                                                  CAHORA BASSA TETE



cahora bassa ni umeme wa maji hydroelectric power namba moja africa ambao unapatikana mkoa wa tete mozambique unauwezo wakuzalisha na kugawa umeme zaidi ya nchi kumi africa wakatumia bila tatizo.
cahora bassa ilijengwa na wakoloni wa kireno zaidi ya miaka 500 iliyo pita ambao walitawala msumbiji nakufanya makazi yao ya kabla ya kutimulia na wamakonde kwa vita walijenga huo mtambo miaka 500 ya utawala wao kama biashara yao.
hivi sasa inamilikiwa ki halali mozambique inagawa umeme nchi tano zikiwemo south africa, swaziland,mozambique,zimbabwe,malawi.

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+