BREAKING NEWS- AFONSO DHLAKAMA AZIMIA AKIWA JUKWAANI NAKUPELEKWA HOSPITALI PEMBA MOZAMBIQUE.




mgombea uraisi wa chama renamo nchini mozambique afonso dhlakama azimia leo mchana akiwa jukwaani akihutubia raia wa cabo delgado pemba gafla alidondoka chini huku akihema kwa taabu.
baada ya dakika 2 gari la wagonjwa ambulance lilikuja nakumchukua haraka kumuahisha hospitali ambapo mpaka hivi sasa yupo huko anaendelea na matibabu na hali yake inaendelea vizuri. uchaguzi mkuu wa raisi utafanyika mwezi ujao tarehe 15, 10,2014.

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+