NGISI MKUBWA DUNIANI KOTE AKUTWA PEMBEZONI MWA BAHARI KAFA ANA KILO 300 UREFU MITA 50.





Samaki mkubwa aina ya ngisi akutwa kafa pembezoni mwa bahari Australia ana kilo 300 na urefu mita 50 watu wengi wameshangaa ukubwa alionao.
wanasayansi wa australia wanamfanyia uchunguzi yupo maabara maarumu mikono yake ina mita 15 ni dudu la ajabu kweli dunia ina mambo.

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+