MBWA MREFU DUNIANI AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA MITANO FUNGUA HAPA.
Mbwa mrefu duniani kote afariki dunia ijumaa huko michigan akiwa na miaka mitano mwenye mbwa kevin doorlag alisema kua mbwa wake.
alikua mkubwa na mzee sana kiasi kwamba alishinda kukimbia,kutembea na kula mara nyingi huwa analala kutokana na umri wake kua mkubwa na urefu.
Comentários
Enviar um comentário