MOZAMBIQUE-QUIRIMBA ARCHIPELAGO NI KISIWA KINACHO SHIKIRIA NAMBA 2 KWA UZURI WA BAHARI BARANI AFRICA.

 
kisiwa cha quirimba archipelago kinacho shikiria namba pili kwa uzuri wa bahari barani africa kinapatikana nchi ya mozambique mkoa wa cabo delgado na pia ipo mbuga ya wanyama inaitwa quirimba parque nacional.
umeshawai kufika paradise fanya uje ujionee mautamu na raha za dunia zakupitiliza utaogelea na kucheza unavyo taka ni kisiwa cha amani.

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+