UKIZIONA PICHA HIZI HAUTATAMANI KUKANYAGA ARDHI YA SOUTH AFRICA HUU NI UKWELI MTUPU.
leo nawaletea habari ambayo wengi hamtaamini lakini ndio ukweli wenyewe, ewe kijana kama unafikiria kwenda south africa kutafuta maisha futa kabisa hiyo nchi haifai kabisa sawa sawa unaenda kuuza roho yako hakuna kazi maisha kule magumu hizo ni picha baadhi tu nilizo piga mwenyewe hao unao waona ni wazungu pure lakini ni omba omba wanatembea barabarani kuomba hela huyo wa kwanza binti alijifanya bubu akijaribu kunidangaya kunitaperi eti kapoteza tiketi soma hiyo karatasi imeandikwa kwa english kwaiyo nimchangie mi nikaona si ishu nikampa rand 10 halafu nikamfotoa na picha hili niwaonesheni.
south africa hakuna maisha huko ni ujambazi,wizi,madawa ya kulevya,kuuwana yani nishida nimekaa siku mbili 2 tu ila ni kama miaka kwanza watu kule wana njaa balaa napenda nikushauri tulia kwenye nchi yako fanya biashara yoyote ile ila usithubutu kwenda south utapotea ndugu yangu. kama unahisi nakufanyia fitina basi nenda ila kitakacho kukuta usisema nijakuambia.
Comentários
Enviar um comentário