AMINI USIAMINI SURA YA MUNGU YAONEKANA KATIKA WINGU LA KIJANI HUKO ICELAND.
mpiga picha maarufu nchini norway tom mackie alisafiri kuelekea iceland kupiga picha kama kawaida yake cha kushangaza anasema usiku aliona anga ikibadilika nakutanda wingu kubwa la kijani ndipo akaona kitu kama sura ya mtu katika lile wingu kubwa la kijani na akaamua kupiga picha kupitia simu yake ya mkononi smart phone baadae alikundua kua uso ule ulikua wa mungu.
anasema tangu kuzaliwa kwake ajawahi kuona sura ya namna hiyo.
Comentários
Enviar um comentário