EEEH SIJAWAHI ONA MWANAMKE AKAA MIAKA 26 NDANI YA NYUMBA BILA KUTOKA NJE HUKO ITALY. HUYU HAPA!!!!
Mwanamke mmoja waki italiano ametolewa na madaktari kwenye nyumba yake baada ya kushi miaka 26 ndani bila kutoka nje.
gazeti moja huko italy limeandika kua vijana walio mtoa nje huyo mama iliwabidi wavae vitambaa usoni na wajifunike kwa mask kutokana na harufu kali iliyo kua inatoka humo ndani ya nyumba yake.
mwanake huyo alikua wa ajabu sana akua tofauti na ngamia ana miaka 50 na nywele zake zina 30kg na urefu wa mita 2 na kisha alipelekwa hospitali.
Comentários
Enviar um comentário