MMMH HUYU JAMAA KACHOKA MAISHA AKUBALI KUMEZWA NA ANACONDA ILI ABURUDISHE ULIMWENGU.





kijana mmoja huko USA paul rosolie ametoa kali ya mwaka pale alipo kubali kumezwa na nyoka mkubwa duniani kote anaconda ili aburudishe ulimwengu ila kwa mavazi maalumu ambayo kwa nyuma yake kuna kamba ndefu na camera tukio hili litarushwa duniani kote live show ataveshwa kisha ajipeleke pori la amazon kumsaka anaconda ili amezwe akiwa tumboni atavutwa pale tu anaconda akishindwa kumtapika.
hiyo sio mara yake ya kwanza ni kazi yake safari ya kwanza alicheza na anconda kama vile anamuendesha farasi. kila la kheri bro ila kwanza ukaage kwenu!!!!

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+