MWANASAYANSI ALIE FANYA KAZI KATIKA KITENGO CHA SIRI AVUJISHA PICHA HIZI KABLA YA KUFA KWAKE.
mwanasayansi alie fanya kazi katika kitengo cha siri huko america ameonesha picha kadhaa za aliens ambazo alizipiga akiwa bado anafanya kazi katiko kitengo cha utafiti wa aliens kwa jina anaitwa boyd bushman alifarika agosti mwaka huu akiwa na miaka 78. picha hizo zilipigwa kwenye eneo la kijeshi la marekani ambako inajurikana kutunza siri haitakiwi watu kujua.
kabla ya kifo chake alivuja hizo picha kwenye media mbalimbali america na mitandao ya kijamii mzee boyd anasibitisha kua aliens wapo na ni viumbe wenye akiri kuliko binadamu.
Comentários
Enviar um comentário