Mensagens

A mostrar mensagens de 2016

MUIMBAJI ADELE LAURIE BLUE NI MWANAMKE TAJIRI UINGEREZA ANASHIKILIA REKODI YA MAUZO BORA YA ALBUM ZAKE 2.

Imagem
muimbaji maarufu dunani kutokea uingereza anaevuma kwa kasi, mwenye single yake HELLO  namzungumzia adele laurie blue ambaye music alianza karibuni na hivi sasa anashikilia rekodi ya mwanamke tajiri wa kwanza muimbaji uingereza na pia amevunja rekodi ya dunia guinness  kwa mauzo ya album zake 2 kufikia 31billioni ndani ya siku 3 tu. adele ni mama mwenye mtoto 1 na ameolewa na mpenzi wake wa mda mrefu.

UKATILI:MTOTO WA MIAKA 5 ACHOMWA MOTO KWENYE KIGANJA CHA MKONO NA BABA YAKE MZAZI KISA SAMAKI.

Imagem
jambo lakuhuzunisha na kusikitisha ukatili huu umepitiliza mtoto wa miaka mitano achomwa moto kwenye kiganja cha mkono na baba yake mzazi kisa samaki. tukio la kikatili limetokea beira mozambique tarehe 29,5,2016 baada ya baba mmoja kumchoma moto kwenye kiganja cha mkono wa kushoto kwa moto kwa madai kua aliiba samaki ambaye alimleta nyumbani kwa ajili ya mboga. mtoto afunguka kua baba yake huo amekua akimlaza njaa bila kula chochote kwa siku 3 amefanya hivyo sabu alikua ana njaa akaamua kumla huyo samaki. ndipo baba akaamua kuchukua kipande cha mkaa chenye moto nakumuambia achike na kumuumnuza vibaya katika kikanja chake. hivi sasa baba anashikiliwa na jeshi la polisi.

VITUKO JAMANI NDOA YA AJABU AMBAYO IMEFUNGWA CHINI YA BAHARI WAKIWA WAMEZUNGUKWA NA PAPA.

Imagem
binadamu hawaishiwi vituko ndoa ya haina yake yafungwa chini ya bahari huko marekani miami baada ya wawili hao wapendanao kukubaliana wafunge ndoa yao chini ya bahari ili kuwashangaza ulimwengu. je ndoa yako ungependa ukafungie wapi? comment utujuze.

DUNIA NA MAAJABU YAKE HUWEZI KUAMINI UTAKACHO KIONA BAADA YA FUNGUA HAPA VITU VYA AJABU VYAKUTWA CHINI YA BAHARI.

Imagem
 sanamu la ajabu lakutwa chini ya bahari costa rica likiangalia tv huku akiwa na baga kwenye sahani yake na amekaa kwenye sofa.                         treni yenye miaka milioni 2 takutwa chini ya bahari nchini china  masanamu yenye kufanana kabisa na binadamu yakutwa chini ya habari huku yakiwa yanaonesha ishara yakusari yenye miaka milioni 1 indonesia.  masanamu haya yakutwa holand kwenye kina kirefu cha maji yenye miaka milioni 3 na bado yapo katka mazingira mazuri bila kuaribika.  mji mkongwe wenye miaka milioni 5 yakutwa kwenye kina kirefu nchini japan wataalamu wanadai huu mji ulisombwa na maji baada ya kutokea tsunami nakufanya uwe chini ya maji.  masanamu yaliyo kaa duara yenye kufanana kabisa na binadamu yakutwa huko japan yakiwa yameshikana mikono watoto na wakubwa.  mji wenye miaka milioni 300 yakutwa kwenye kina kirefu kabisa huko thailanda wanadai ulizama.  ...

KITUKO CHA MWAKA KIJANA ANASA WAKATI AKIFANYA MAPENZI NA MKE WA MTU ATOSWA FAINI YA AJABU.

Imagem
                                                MWENYE MKE AKIWA ANALIA hule msemo usemao mke wa mtu sumu umejihilizisha huko kenya nairobi baada ya kijana mmoja mfambiashara maarufu kama fataki au kidowezi kunasa wakati akifanya mapenzi na mke wa mtu atozwa faini KSH.20000 ili aweze kutoka au kubanduka.mwenye mke anadai kua alijua kua mke wake alikua anachepuka nje ndipo akaamua kwenda kwa mganga kumtega.

WAKINA DADA SOMENI INAWAHUSU,AFUATWA NA MZIMU WAKIHINDI BAADA YA KUWEKA NYWELE BANDIA.

Imagem
true story dada mmoja huko niger angelina butowe miaka 22 atokewa na mzimu wa kihindi baada ya kuweka nywele bandia. yeye hakufahamu huo mzimu ulikua sabu ya nywele aliteseka sana kila anapo kula,oga au kazini huwa unamtokea na kumuandikia ujumbe kwa maneno yaki hindi hakua anaelewa mpaka siku mmoja alipo gundua kua ulikua unadai nywele zake. ndipo hakazikata nakumpatia mwenyewe jamani wakina dada muwe makini hizi nywele bandia mnazo penda kuweka kichwani hamjui zinatoka wapi na kwa nani wengine wanauliwa ili wakatwe nywele zao wauze.

MAAJABU YA ULIMWENGU POPO MNYONYA DAMU ANAISHI KWA KUNYWA DAMU YA VIUMBE VINGINE SOMA HAPA.

Imagem
maajabu ya ulimwengu popo mnyonya damu anaishi kwa kunya damu ya viumbe vingine maarufu kama VAMPIRE BAT  apatikanae kusini mwa amerika msitu wa AMAZON. huyu popo alijukalikana katika miaka ya 80 baada ya wanasanyasi kutoka uingereza kufanya uchunguzi wa viumbe vipya amazon ndipo wakagundua popo mwenye tabia ya aina yake mwenye uwezo wakungata na kunyonya damu kupitia ulimi. ki kawaidi popo huwa anakula viumbe vidogo kama mbu,nchwa,mende,matunda,vijusi, ila kwa popo huyu ni tofauti vampire bat yeye mlo wake ni damu na si kingine. hushambulia chochote kipitacho mbele yake haijalishi ni binadamu au mnyama na inasemekana sumu yake inaweza kukubalisha na wewe ukawa mpenda kunywa damu pale unapo ngatwa.

mgombea uraisi donald trump marekani atukana na kuikashifu Africa na hichi ndo alichokisema fungua hapa.

Imagem
heheheee ngoja nicheke kidogo duniani kuna vituko duuh haya bhana mgombea uraisi marekani maarufu sana anaitwa donald trump katika vikao vyake huko California alitukana na kuikashifu Africa kwa kudai kua wana afrika ni wavivu na wezi, wanacho jua ni mapenzi ambayo hutumia dawa au mashine kuongeza maumbile yao. viongozi wao ni wezi wanaiba hela ya wananchi na kupeleka nje kuwekeza badala ya kuwekeza nchini mwao wakapata maendeleo akamalizia kwa kusema hawa ni wajinga sana wanabidi wataliwe kikoloni tena wapate akili. je trump yupo sahihi?

NJIA RAHISI NA SALAMA KUONDOA BLACKHEADS KWENYE USO WAKO UKIWA NYUMBANI BILA KEMIKALI.

Imagem
wengi mtakua mnajiuliza blackheads ni nini? ki ufupi ni vidoti vyeusi ambavyo hutokea usoni mara nyigi huwa puani husababishwa na mafuta mengi mwilini na deadcells ambao hufa na kutokea kwenye matudu ya nywele. wasipo tolewa kwa wakati husababisha muwasho na chunusi. kutibu au kuondoa kabisa tumia bidhaa hizo za asili bila kemikali kila siku mpaka utakapo ona wamekwisha kabisa na ngozi yako itakua laini na nyororo.

MILLIONAIRE ANAE ONGOZA KWA KUCHUKIWA INSTAGRAM KWA MATENDO YAKE MACHAFU KWA MABINTI.

Imagem
ngoja niwadokeze hii ni kufuru millionaire maarufu kwa jina candyman kutoka australia huyu jamaa ametokea kuchukiwa na watu wengi instagram kutokana na matendo machafu yakidhalilishaji kwa wanawake yeye huita wanawake ni wadudu yani bidhaa anasema pesa alizonazo anaweza kufanya lolote duniani hata kununua uhai tena. anamiliki viwanda kadhaa vya sigara,na ulevi chini humo.