MAAJABU YA ULIMWENGU POPO MNYONYA DAMU ANAISHI KWA KUNYWA DAMU YA VIUMBE VINGINE SOMA HAPA.






maajabu ya ulimwengu popo mnyonya damu anaishi kwa kunya damu ya viumbe vingine maarufu kama VAMPIRE BAT  apatikanae kusini mwa amerika msitu wa AMAZON. huyu popo alijukalikana katika miaka ya 80 baada ya wanasanyasi kutoka uingereza kufanya uchunguzi wa viumbe vipya amazon ndipo wakagundua popo mwenye tabia ya aina yake mwenye uwezo wakungata na kunyonya damu kupitia ulimi. ki kawaidi popo huwa anakula viumbe vidogo kama mbu,nchwa,mende,matunda,vijusi, ila kwa popo huyu ni tofauti vampire bat yeye mlo wake ni damu na si kingine. hushambulia chochote kipitacho mbele yake haijalishi ni binadamu au mnyama na inasemekana sumu yake inaweza kukubalisha na wewe ukawa mpenda kunywa damu pale unapo ngatwa.

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+