WAKINA DADA SOMENI INAWAHUSU,AFUATWA NA MZIMU WAKIHINDI BAADA YA KUWEKA NYWELE BANDIA.
true story dada mmoja huko niger angelina butowe miaka 22 atokewa na mzimu wa kihindi baada ya kuweka nywele bandia. yeye hakufahamu huo mzimu ulikua sabu ya nywele aliteseka sana kila anapo kula,oga au kazini huwa unamtokea na kumuandikia ujumbe kwa maneno yaki hindi hakua anaelewa mpaka siku mmoja alipo gundua kua ulikua unadai nywele zake.
ndipo hakazikata nakumpatia mwenyewe jamani wakina dada muwe makini hizi nywele bandia mnazo penda kuweka kichwani hamjui zinatoka wapi na kwa nani wengine wanauliwa ili wakatwe nywele zao wauze.
Comentários
Enviar um comentário