mgombea uraisi donald trump marekani atukana na kuikashifu Africa na hichi ndo alichokisema fungua hapa.






heheheee ngoja nicheke kidogo duniani kuna vituko duuh haya bhana mgombea uraisi marekani maarufu sana anaitwa donald trump katika vikao vyake huko California alitukana na kuikashifu Africa kwa kudai kua wana afrika ni wavivu na wezi, wanacho jua ni mapenzi ambayo hutumia dawa au mashine kuongeza maumbile yao. viongozi wao ni wezi wanaiba hela ya wananchi na kupeleka nje kuwekeza badala ya kuwekeza nchini mwao wakapata maendeleo akamalizia kwa kusema hawa ni wajinga sana wanabidi wataliwe kikoloni tena wapate akili. je trump yupo sahihi?

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+