VITUKO JAMANI NDOA YA AJABU AMBAYO IMEFUNGWA CHINI YA BAHARI WAKIWA WAMEZUNGUKWA NA PAPA.
binadamu hawaishiwi vituko ndoa ya haina yake yafungwa chini ya bahari huko marekani miami baada ya wawili hao wapendanao kukubaliana wafunge ndoa yao chini ya bahari ili kuwashangaza ulimwengu. je ndoa yako ungependa ukafungie wapi? comment utujuze.
Comentários
Enviar um comentário