MILLIONAIRE ANAE ONGOZA KWA KUCHUKIWA INSTAGRAM KWA MATENDO YAKE MACHAFU KWA MABINTI.
ngoja niwadokeze hii ni kufuru millionaire maarufu kwa jina candyman kutoka australia huyu jamaa ametokea kuchukiwa na watu wengi instagram kutokana na matendo machafu yakidhalilishaji kwa wanawake yeye huita wanawake ni wadudu yani bidhaa anasema pesa alizonazo anaweza kufanya lolote duniani hata kununua uhai tena. anamiliki viwanda kadhaa vya sigara,na ulevi chini humo.
Comentários
Enviar um comentário